Gari inauzwa Milioni 5 Bei haipungui

Gari inauzwa Milioni 5 Bei haipungui

Hahaha hata kwa macho unaona kabisa body ni zima ila injin ndo ilikufa so inahitaji engine ingine na road licence imelipiwa mara ya mwisho 2012 which means ndo mara ya mwisho kuitumia

Tairi ni mpya
Shock ni mpya
Coil spring ni mpya
Na ni full ac

Kimsingi haikuwa na shida yoyote, nauza sababu uwezo wa mimi kununua engine sina na inavyokaa muda mrefu chumvi inaitafuna
 
umaskini mbaya ningekuwa na hela ningeshakuwa chomboni
 
Hivi injini za hizi gari zinafika sh ngapi pale Karume?


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom