akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
Haina cylinder head.
0784/764 800989
Ipo Kigamboni , dar es salaam
0784/764 800989
Ipo Kigamboni , dar es salaam
Aisee hii kitu naipenda sana, nakuja kuiangalia keshokutwa.Haina cylinder head.
0784/764 800989
Ipo Kigamboni , dar es salaam
Usijali mkuu unapatikana mida gani hasa?Asante Mod kwa kuweka maneno sawa, wengine lugha inatupa shida kidogo.
Renegade ukiwa unakuja nipigie nikuelekeze ni Kigamboni Geza Ulole, pale pale stand unaingia kulia, ulizia kwa chichi niko nyuma yake .
ONYO: Naomba anaekuja awe serious buyer napia bei haipungui.
Samahani mkuu nikajua gari mdoli kumbe mkoko wa maana kabisa hivi ni Cc nhapi?Google wengine hatujui utani maana hili sio jukwaa la utani, kuwa makini na unachokiandika na si lazima uandike kama huna la msingi