Gari inauzwa fasta

Gari inauzwa fasta

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Gari ni ya mwaka 2000 mafuta ni diesel engine capacity ni 2990 milage 154000 km ipo kwenye hali nzuri bei ni milioni 12. #0714358610
 

Attachments

  • 20140827_173027.jpg
    20140827_173027.jpg
    458.6 KB · Views: 1,118
  • IMG_20141015_125412.jpg
    IMG_20141015_125412.jpg
    449.9 KB · Views: 972
  • IMG_20141015_125435.jpg
    IMG_20141015_125435.jpg
    496.7 KB · Views: 921
  • IMG_20141015_125447.jpg
    IMG_20141015_125447.jpg
    418.9 KB · Views: 881
  • IMG_20141015_125506.jpg
    IMG_20141015_125506.jpg
    293.1 KB · Views: 800
  • IMG_20141015_125555.jpg
    IMG_20141015_125555.jpg
    139.7 KB · Views: 759
  • IMG_20141015_125636.jpg
    IMG_20141015_125636.jpg
    314.4 KB · Views: 755
  • IMG_20141015_125603.jpg
    IMG_20141015_125603.jpg
    561.8 KB · Views: 714
  • IMG_20141015_125735.jpg
    IMG_20141015_125735.jpg
    322.5 KB · Views: 715
  • IMG_20141015_125719.jpg
    IMG_20141015_125719.jpg
    357.6 KB · Views: 744
  • IMG_20141015_125656.jpg
    IMG_20141015_125656.jpg
    492.2 KB · Views: 831
  • IMG_20141015_125709.jpg
    IMG_20141015_125709.jpg
    330 KB · Views: 833
  • IMG_20141015_125715.jpg
    IMG_20141015_125715.jpg
    236.9 KB · Views: 839
mi nimependa cc zake tu yani hii haili mafuta kabisa inanusa tu wale wa vipato vya chini itawafaa sana hii changamkieni
 
Ikizima hio hata uvute na tractor haiwaki yani ni full kimeo
 
Dah nyie watu mna maneno machafu hatari
 
Gari hiyo ni nzuri sana nimeitumia nilipokuwa ughaibuni lakini kwa huku Tz ni ndoa ya kikristo spea zinasumbua sana
 
Mkuu 4.5 tumalize biashara. Si unaona ushuhuda wa wazoefu mkuu ????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom