Mwalimu chukua mchuma huo
adi niuze chaki lini? Hata nikienda kukopa benk siwezi kupata zaidi ya mil 5, nikikusanya na miradi yangu ya kuku na mboga mboga ndio itafika mil 6.
Sokoni kwenyewe zinapatikana kwa 8, sasa why 10? Afu unalipa taratibu taratibu.
Ndo maana nkasema atasubiri sana.
Unaumwa nini,carina Ti unauza mil 10,utasugua sana benchi na gari yakoKwani kalazimishwa mtu kununua?kama unaona haifai kwako piga kimya atakae pendezwa nayo atasema.
Unaumwa nini,carina Ti unauza mil 10,utasugua sana benchi na gari yako
Sio Carina "IT" ni Carina TI! Mini nnayo kama hiyo nauza 7.5 anaehitaji anipm