chamtemamoto
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 796
- 215
SHALOM KWA WOTE
Gari ni subaru forester X20 km 34800 bei 14,000,000 ipo arusha
Gari ni subaru forester X20 km 34800 bei 14,000,000 ipo arusha
picha ziko wapi mkuu. Unapoweka picha watu wanapata kuona walau colour na body kama bado inalipa au ushaigonga gonga maputi kadhaa.
Mkuu nimeshidwa kuweka picha ngoja nisake maujanja.
ushauri : PM baadhi ya memba wakupatie email zao ili uwatumie alaf wakusaidie kuzibandika hizo picha hapaMkuu nimeshidwa kuweka picha ngoja nisake maujanja.