Wadau Habari!
Nina msister anahitaji usafiri-gari. Current ana bajeti ya 3m but naamini kama ishu itakuwa ipo at par kuna uwezekano wa kupanda.
Mwenye kuwa na mali hiyo anijuze ili tufanye zoezi la kuthaminisha na kufanya biashara.
Nawasilisha.
NB: Mimi si dalali na hivo dalali hatakiwi.