Gari inahitajika

Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Nipo DSM, Kawe
 
Naona unahitaji kuanza Urafiki Mpya na mafundi gereji mwaka huu, kila la heri Mkuu
 
Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Mkuu nicheki namba hii nikupe Corolla bado iko fresh sana 0673269820.
 
Wakuu nahitaji usafiri mfupa iwe corolla, premio old model, mark II, chaser, starlet na jamii ya hizo sijalishi namba gani ilimradi iwe inatembea tu.
Bajeti yangu ni milioni 2.
Lete mzigo nikutue.
Karibuni sana
Mkuuu kuna gari iko Kinyerezi mwisho Corolla Injin safi na body lake ndio lina kutu kiasi bei yake ni Laki 5 tu. Nakutafutia mawasiliano niKupm namba ya mwenye gari kwa ajili ya mawasiliano ukalikague ujiridhishe lkn kwa uelewa wangu wa magari lile gari litafaa sana.
 
Fanya Fanya hivyo haraka
 
Mkuu Mkuu nimekutumia PM, tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vp, ingia inbox tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…