Gari inahitajika haraka sana

Gari inahitajika haraka sana

jakackseru

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
132
Reaction score
27
Nahitaji Toyota Starlet milango mitano,iwe katika hali nzuri,bajeti yangu milioni nne (4mln)
Mwenye nayo anicheki WhatsApp kwanamba 0757888666 nipo Dar-es-salaam.
 
Nahitaji Toyota Starlet milango mitano,iwe katika hali nzuri,bajeti yangu milioni nne (4mln)
Mwenye nayo anicheki WhatsApp kwanamba 0757888666 nipo Dar-es-salaam.

Nenda bandarini siku za minada utapata gari nzuri kwa bei yako!
 
ongeza japo 2.5ml hapo ili uletewe hilo gari unalotaka
 
kuna Raum million 5.maongezi yapo namba A,tunauza sababu tunataka ela hiyo
 
Nina Spacio new Model, 4wd inatumia Petrol, namba B. Ipo katika hali nzuri sana.
Bei 7.5M
NiPM if your interested.
First come first served.
 
mtu keshasema anahitaji starlet ..na bajet yake 4m. kama hauna si unapita tuuuuuuu......kwani lazma umpe suggestion? ooh ongeza 2m upate blablabla...mara ongeza xyz Mil. ish watu wengine bana.
 
mtu keshasema anahitaji starlet ..na bajet yake 4m. kama hauna si unapita tuuuuuuu......kwani lazma umpe suggestion? ooh ongeza 2m upate blablabla...mara ongeza xyz Mil. ish watu wengine bana.

Bora umenisaidia ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom