Hii itakuwa bmw au vw tuNina gari ndogo Toyota Engine 1ZZ VVTi kuanzia 2021 August ilikuwa ikinisumbua sana. Engine ilikuwa ni full kelele ukiwasha, ukikanyaga mafuta kidogo tu ni krrarrrrrrr kama zote.
Niliisha peleka kwa mafundi 3 tofauti but tatizo likawa linazidi. Fundi wa mwisho akaniambia itakuwa inafanya kazi but itakukera tu utabidi uvumilie tu. Nimeenda nayo hivyo zaidi ya miezi mi 4. Kula mafuta sana, inamaliza oil sana, kelele kwa engine, yaani hakuna raha kabisa.
Kuna jamaa yangu yeye anaye fundi wake sasa kuna siku akawa anamsifia sana ikabidi nimuombe anipatie namba zake. Baada ya kumuona jamaa akaichukua na kuifanyia uchunguzi wa kina.
Gari imetengenezwa imerudi kama imetoka Japani. Testing zote tayari. Sasa hapa nataka nianze safari nione itakuwaje. Ila matengenezo yanahitaji pesa aisee maana vitu vingi vimenunuliwa vipya.
Hapa nina amani sana.
Utani wa ngumi huu toka lini VVTi ikawa BMW au VW?Hii itakuwa bmw au vw tu
Hii itakuwa toyota opaNina gari ndogo Toyota Engine 1ZZ VVTi kuanzia 2021 August ilikuwa ikinisumbua sana. Engine ilikuwa ni full kelele ukiwasha, ukikanyaga mafuta kidogo tu ni krrarrrrrrr kama zote.
Niliisha peleka kwa mafundi 3 tofauti but tatizo likawa linazidi. Fundi wa mwisho akaniambia itakuwa inafanya kazi but itakukera tu utabidi uvumilie tu. Nimeenda nayo hivyo zaidi ya miezi mi 4. Kula mafuta sana, inamaliza oil sana, kelele kwa engine, yaani hakuna raha kabisa.
Kuna jamaa yangu yeye anaye fundi wake sasa kuna siku akawa anamsifia sana ikabidi nimuombe anipatie namba zake. Baada ya kumuona jamaa akaichukua na kuifanyia uchunguzi wa kina.
Gari imetengenezwa imerudi kama imetoka Japani. Testing zote tayari. Sasa hapa nataka nianze safari nione itakuwaje. Ila matengenezo yanahitaji pesa aisee maana vitu vingi vimenunuliwa vipya.
Hapa nina amani sana.
Engine vvti tena 1zz iwe BMW are you serious my friend?,okay hio gari itakua jamii za premeoHii itakuwa bmw au vw tu
Sijui mkuu si unajua magari yenyewe tunayasoma tu mitandaoni.Engine vvti tena 1zz iwe BMW are you serious my friend?,okay hio gari itakua jamii za premeo
Testing inafanywaje mkuu?Sawa. Mie nasema hivyo kwakuwa najua watu wanaumizwa sana. Huyu Fundi kwanza hana tamaa kabisa halafu gharama zake ni ndogo sana. Kiukweli nimemkubali sana. Leo ilikuwa siku ya testing tu. Aisee
Mie nimesema kilichonitokea. Sijaweka namba ya simu ya mtu wala nini But sikatazwi kumsifia mtu pale anapofanya vizuri.Kataa kubali hii ni promo miksa tangazo la biashara
Aliifanyia overhaul ama? sababu ni nyingi za injini kupiga kelele ikiwamo oil kutokupanda inavyostahili kwa engine ama hata septrin belt kuchoka,Mie nimesema kilichonitokea. Sijaweka namba ya simu ya mtu wala nini But sikatazwi kumsifia mtu pale anapofanya vizuri.
Hapo niliahangaika tangu 2021 August kutafuta fundi. Kila fundi niliyekuwa nampata ni magumashi tu.