IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Ni Mitsubishi Lancer (sport generation car)
- CC 1597
- mwaka wa kutengeneza: 1999
- kusajiliwa kwanza ni 2007
- Consumption 1litre/13-14 km
- Blue colour
- Vibali: Motorvehicle license Feb/2015, Bima June/2015.
- Inatembea
- Milage; 150,105 km
- Plate no AQT
- Ipo Mbeya mjini.
- Umiliki ni halali, wala sio dalali.
- Sababu ya kuuza: Nahitaji kuimarisha mipango ya kibiashara.
- Unaweza kutumia kwa matumizi ya kawaida au hata kibiashara (mafuta inatumia vema- PETROL)
- Wasiliana tuongee; 0652 656565