Nime kupm mkuu, ila Dodoma kutoka mbeya via Iringa ni karibu, masaa 6 tu niko hapo, hii iko vema kabisa hasa safari zz kunyoosha. Tukikubaliana mambo ya msingi tunafanya biashara, Nakuletea mwenyewe. Naondoka Mbeya saa 11 asbh, Dodoma saa 5 au 6, kama halitatokea tatizo. Tuwasiliane mkuu
Jamaa wa Mbeya, njoo tuongee vizuri, tukutane,
Ni Mitsubishi Lancer (sport generation car)
- CC 1597
- mwaka wa kutengeneza: 1999
- Awali ilitumika na Kampuni, kusajiliwa kwanza ni 2007
- Consumption 1litre/13-14 km
- Blue colour
- Vibali: Motorvehicle license Feb/2015, Bima June/2015.
- Inatembea
- Milage; 149,505 km
- Plate no AQT
- Ipo Mbeya mjini.
- Marekebisho ni madogo sana (si lazima-hayana athari)
- Umiliki ni halali, wala sio dalali.
- Sababu ya kuuza: Nahitaji kuimarisha mipango ya kibiashara.
- Unaweza kutumia kwa matumizi ya kawaida au hata kibiashara (mafuta inatumia vema)
- Muundo wa injini yake kiufundi unaruhusu replacement ya engine full za Toyota; 4E AU 5A au 7A(engine, gearbox, distributor, nk) HAINA maana kwamba ingine iliyopo ni mbovu au mbaya ila wengine huwa na mapenzi na Injini fulani.
- Wasiliana tuongee; 0652 656565