Huyu mleta tangazo ni ........ACTION MART
Mbona mkali sana halafu watu wanakuambia
maelezo ni mafupi pia hujaweka picha
Maana unaweza kuta gari hiyohiyo ina
cc 4500 jaribu kusikiliza wadau
unaposema mwenye yupo Dar wakati hivi
vitu wanamhusu zaidi mleta tangazo.