Gari dogo - Suzuki Kei inauzwa

Nov 17, 2011
40
7
Wasalaam,
Linauzwa gari dogo aina ya Suzuki Kei lenye sifa zifuatazo;

1. Limeingia Tanzania Miezi 6 iliyopita
2. Milango mitano (5 doors)
3. Rangi ya fedha (Silver colour)
4. Automatic transmission (4 gear)
5. 660cc (Ukubwa wa injini)
6. Petrol (Matumizi ya mafuta ni kidogo sana ukilinganisha na umbali unaoenda)
7. Lipo katika hali nzuri. Unalipa unaondoka nalo hapohapo.
8. Lipo Dar es Salaam.
9. Bei utapewa kupitia PM kwa atakayekuwa muhitaji.

Asante
 
Attachments

  • suzuki Kei kulia.jpg
    suzuki Kei kulia.jpg
    242.4 KB · Views: 279
  • Suzuki kei pembeni.jpg
    Suzuki kei pembeni.jpg
    195.8 KB · Views: 255
  • Suzuki Kei behind.jpg
    Suzuki Kei behind.jpg
    197.7 KB · Views: 204
Hizi gari kwa ulaji wa mafuta ni nzuri sana kwa kweli.
Tatizo tu kwangu ni hilo jina lake la pili,
Kule kwenye ile sub forum kule chini kabisa hilo jina linamaanisha vingine kabisa.
 
Hizi gari kwa ulaji wa mafuta ni nzuri sana kwa kweli.
Tatizo tu kwangu ni hilo jina lake la pili,
Kule kwenye ile sub forum kule chini kabisa hilo jina linamaanisha vingine kabisa.

You must be joking!!!
 
Acha hizo wewe,kwa ushauri tu ni gari zuri na durable sana pia spea zipo kwa ulaji wa mafuta usisikie ni kama bure,unaweza tembea km.25 kwa lita.Mi ninalo nawahakikishia ni zuri ajabu na utaenjoy.
 
Acha hizo wewe,kwa ushauri tu ni gari zuri na durable sana pia spea zipo kwa ulaji wa mafuta usisikie ni kama bure,unaweza tembea km.25 kwa lita.Mi ninalo nawahakikishia ni zuri ajabu na utaenjoy.

Unaweza kudhani the same person with different IDs. JF folks wengine hawaaminiki
 
imependa jina lake ..Suzuki K.... yaani ningekuwa na hela ningenunu afu hiyo Kei nabandua ei inabaki niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....inabaki K
 
Napenda kuwajulisha kuwa gari hili bado lipo halijauzwa. Kwa anayelihitaji asisite kuni -pm.
Kumbuka lipo jijini Dar es Salaam na lipo barabarani kila siku (linatumika kwenda kazini na kurudi nyumbani tu).

Asante

Wasalaam,
Linauzwa gari dogo aina ya Suzuki Kei lenye sifa zifuatazo;

1. Limeingia Tanzania Miezi 6 iliyopita
2. Milango mitano (5 doors)
3. Rangi ya fedha (Silver colour)
4. Automatic transmission (4 gear)
5. 660cc (Ukubwa wa injini)
6. Petrol (Matumizi ya mafuta ni kidogo sana ukilinganisha na umbali unaoenda)
7. Lipo katika hali nzuri. Unalipa unaondoka nalo hapohapo.
8. Lipo Dar es Salaam.
9. Bei utapewa kupitia PM kwa atakayekuwa muhitaji.

Asante
 
Wacha uchoyo bwana unaweka wali mezani halafu unasema anaetaka mchuzi anifuate jikoni?Hainogi, pls weka madhambi yake halafu kila mtu anaangalia mfuko wake.Unajua wanunuzi wengine hawapendi usumbufu watapenda zaidi bei yako ya kuanzia halafu maelewano yatafuata ktk pm yako.Ila gari ni nzuri....
 
Umeorodhesha sifa kibao za hiyo Gari, but bila bei hujafanya kitu bro!!!
 
Back
Top Bottom