Acha Ushamba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 202
- 78
Mwenye gari dogo aina ya duet anicheki nimuunganishe kwa jamaa.
Taja bei yako hapa jukwaani pamoja na specifications zake mf km zilizotembea nk!
Ukitupia picha utakuwa umefanya vema zaidi
Ahsanteni.
Chukua staret garat yangu 4.6
km 129,000
bxu
cc1330
picha zipo angalia topic za 07.08
no yangu 0712551067
Specifications plz!!
then bei!
Specifications plz!!
then bei!
3.3m
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Yap bei murua!
Plate no. ni c ama b ama a,
then mbona specs humalizii? eg km, nk
Cheki hiyo, cc 821, odo 108.25km auto transmission, 4wd, valid insurance and road license, asking 4.8mMwenye gari dogo aina ya duet anicheki nimuunganishe kwa jamaa.
Taja bei yako hapa jukwaani pamoja na specifications zake mf km zilizotembea nk!
Ukitupia picha utakuwa umefanya vema zaidi
Ahsanteni.
mkuu hii gari iko wapi,? Ebu weka vipicha picha,Cheki hiyo, cc 821, odo 108.25km auto transmission, 4wd, valid insurance and road license, asking 4.8m
nipe heading ya huo uzi! Matangazo ni mengi sana!