Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni.
VIGEZO
1. Gari iwe na dereva wake.
2. Dereva atalipwa na mwenye gari.
3. Tani 1.
4. Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi.
5. Kiwango cha siku ni makubaliano kutegemea na gari.
6. Gari Itapaki/lala bure Godown/Ofisini siku za kazi.
7. Mawasiliano zaidi 0625492720.
8. Mafuta juu yetu.
9. Vibali vya kuingia mjini/city centre ni juu yetu.
10.Mahali ni DSM nyerere road vingunguti karibu na kiwanda cha Pepsi.