Bishanga ndo nshajizeekea jamani,mai waif mama The secretary bishanga choka mbaya, hawara yangu Kongosho ndo kabisa anatembea na dripu,kimada wangu Mamndenyi ndo kakongoroka bi kidude ana nafuu, jamani natafuta kachicken spring ka kuwa kananshtua siku moja moja.Mabinti warembo amu Arabela marejesho embu sogeeni ubaazi huu niwape tiketi za business class tukutane Nassau,Bahamas.
Angalizo:Gari bovu huvutwa na gari zima.
Arushaone na vijana wenzio,hala hala mti na jicho,nimeomba warembo wawe wanashtua injini tu,could be kunikokea moto,kunipungia upepo,masaji etc etc etc etc
Bishanga kiboko yako huyu hapa alikuweza kweli kweli hahahahahah
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ers-wa-chit-chat-mnafanya-kazi-muda-gani.html
Nimekuta naye ccbrt jana ,alikuja kukwanguliwa macho,alisindikizwa na mwanae Cantalisia ( btw she is 54 years young).