Gari aina ya Toyota premio no EBF 2003 color silver imeibwa maeneo ya Yombo Dovya - Temeke

chapaswa

Senior Member
Mar 5, 2016
100
213
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni mmiliki halali wa hiyo gari, usiku wa kuamkia leo tarehe 19.12.2022, gari ilikuwa imeegeshwa karibu na shule ya msingi Yombo mkabala na duka la jumla, ambapo mlinzi alipewa kazi ya kulinda.

Lakini asubuhi naamka mlinzi anasema aliona mtu ameichukua gari akadhani ni mimi. Tayari swala lipo kwenye vyombo vya dola na mlinzi anatafutwa kwa ajili ya kusaidia kutoa ushirikiano. Najua humu kuna watu wengi wanye uelewa na magari na hata wanaouza magari, naombeni kwa yeyote atakaweza kuona au kusikia gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwa no 0763921242 au afike kituo chochote polisi. Asante
 
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni mmiliki halali wa hiyo gari, usiku wa kuamkia leo tr19.12.2022, gari ilikuwa imeegeshwa karibu na shule ya msingi yombo mkabala na duka la jumla, ambapo mlinzi alipewa kazi ya kulinda. Lakini asubuhi naamka mlinz anasema aliona mtu ameichukua gari akadhani ni mimi, . Tayari swala lipo kwenye vyombo vya dola na mlinz anatafutwa kwa ajili ya kusaidia kutoa ushirikiano. Najua humu kuna watu wengi wanye uelewa na magari na hata wanaouza magari, naombeni kwa yeyote atakaweza kuona au kusikia gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwa no 0763921242 au afike kituo chochote polisi. Asante
Duh!. Pole sana kaka.

Bahati mbaya sana haina tracking device.

Nakuombea ipatikane.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni mmiliki halali wa hiyo gari, usiku wa kuamkia leo tr19.12.2022, gari ilikuwa imeegeshwa karibu na shule ya msingi yombo mkabala na duka la jumla, ambapo mlinzi alipewa kazi ya kulinda. Lakini asubuhi naamka mlinz anasema aliona mtu ameichukua gari akadhani ni mimi, . Tayari swala lipo kwenye vyombo vya dola na mlinz anatafutwa kwa ajili ya kusaidia kutoa ushirikiano. Najua humu kuna watu wengi wanye uelewa na magari na hata wanaouza magari, naombeni kwa yeyote atakaweza kuona au kusikia gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwa no 0763921242 au afike kituo chochote polisi. Asante
Picha ni hizo
TimePhoto_20221218_065748.jpg
TimePhoto_20221218_065651.jpg
TimePhoto_20221218_072817.jpg
TimePhoto_20221218_065713.jpg
 
Pole Sana mkuu, sema Ongezea kwamba
"na zawad itatolewa kwa atakayefsnikisha kupatikana kwa taarifa ya Gari au mhusika wa wizi wa Gari husika"

Sikuhzi Watu hawafanyi kazi bure bure mkuu, kunjuka kdg vijana waingie kazini.

Binadamj wamebadilika, Mambo ya utalipwa mbinguni hakuna Tena skuhz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, nimesahau kuiweka hii, bila shaka zawadi nono itatolewa kiongozi
 
Back
Top Bottom