GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,344
- 1,790
Ndugu wanajamii mwenye ujuzi wa hii gari anipe dondoo zake...kuanzia upatikanaji wa spare...fuel na bei yake.
hiyo ni gari moja au mbili tofauti?Ndugu wanajamii mwenye ujuzi wa hii gari anipe dondoo zake...kuanzia upatikanaji wa spare...fuel na bei yake.
Bando uliyoitumia kutuuliza sisi ungeweza kuitumia kugoogle na kupata jibu haraka na sahihi.Ndugu wanajamii mwenye ujuzi wa hii gari anipe dondoo zake...kuanzia upatikanaji wa spare...fuel na bei yake.
Picha tafadhali!Ndugu wanajamii mwenye ujuzi wa hii gari anipe dondoo zake...kuanzia upatikanaji wa spare...fuel na bei yake.
Sio kwamba hawezi kugoogle si unajua jamii forum kila member anapenda kuonekana matawi......... nataniaBando uliyoitumia kutuuliza sisi ungeweza kuitumia kugoogle na kupata jibu haraka na sahihi.
Andika kwa usahihi jina la gari.
Hata hivyo hakuna gari lenye jina hilo, kama kashindwa kuandika jina sahihi ina maana hata kugugo hajui na mbaya zaidi hata hela ya kununulia kiatu kipya dukani hana, anatupotezea wakati tu.Sio kwamba hawezi kugoogle si unajua jamii forum kila member anapenda kuonekana matawi......... natania
Kwa kweli ni kampuni ambayo haipo, Toyota Honda!Hata hivyo hakuna gari lenye jina hilo, kama kashindwa kuandika jina sahihi ina maana hata kugugo hajui na mbaya zaidi hata hela ya kununulia kiatu kipya dukani hana, anatupotezea wakati tu.
Haka kamjamaa kanavaa viatu vya mtumba, flana ya mtumba na boksa ya mtumba! Ni kasumbufu tu.Kwa kweli ni kampuni ambayo haipo, Toyota Honda!