Gari aina ya terious

Gari aina ya terious

starson85

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
146
Reaction score
14
Pata gari nzuri kwa bei poa
Piga simu 0656436662


Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Unauza gari kama mtumba wa shati la Kariakoo.
 
Tupia picha na bei na useme limekimbia km ngapi, watu ndio tukupigie
 
Mimi sijui tatizo ni siasa au vipi ila jf kuna tatizo kubwa kwa wanaotangaza biashara Zao.
 
Watu wana mihemko ya kuibiwa kura rais wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom