gari aina ya spash linauzwa.

gari aina ya spash linauzwa.

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
gari hii iko katika hali nzuri, haina tatizo lolote, bei ni 7mil. mawasiliano 0784233336
 
mkuu una picha yake....?....Spash ni Toyota........?
 
Weka picha yake mkuu! wengine tuko nyuma kidogo na majina ya magari!
 
JF ina mambo kweli eti mtu anauza gari bila vielelezo,utafikiri anauza mahindi bana.
 
dah....hii ni aina gani ya gari mkuu....au ulikuwa unataka kumaanisha Spacio..Toyota corolla?
 
Kama hii, hii inaitwa SUZUKI SPLASH
suzuki-spash-gls.jpg
 
[B said:
Vince[/B]]dah....hii ni aina gani ya gari mkuu....au ulikuwa unataka kumaanisha Spacio..Toyota corolla?


TOYOTA spacio

Humu kweli kuna Great and Clever Thinkers, mimi Mbuya alikuwa kesha nipoteza kabisa, kumbe alikuwa ana maana Spacio!
 
mkuu, unauza gari ambayo hata hujui jina lake, duh yawezekana ni Toyota Leyland spash hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom