Mkuu kama ndio ile umeipost sehem fulani nimeona,kali sana ashindwe mwenyewe tu.Mkuu, weka namba yako ya simu basi.
mm ninayo ila uje uifate mwenyewe Zanzibar.nitumie namba yako ya simu kwenye private message.
kama upo seroius.
AHSATE
Be forward.com wana caluclator ya kila gari unalohitaji mpaka bandari ya Dar, sasa we andaa za TRA nusu yake tu, na km uko ajira serikalini una punguzo
MkuuMkuu kama ndio ile umeipost sehem fulani nimeona,kali sana ashindwe mwenyewe tu.
Ila mwambie pia kodi ilivyo ya kusafirisha
Piga namba hii halafu ulizia 0222774880.Wadau!
Naomba kufahamu wapi ntapata gari aina ya PRADO ya bei nzuri na isiyokuwa mbovu. Naihitaji sana na haraka kwa bei isiyozidi Tshs. 13,000,0000.
Mengineyo:
- Rangi iwe sliver, kijivu, white, darkblue, grey n.k
- Iwe ya kuanzia mwaka 2000,
- Iwe inayotumia petrol,
- Iwe automatic or autmanual,
- Iwe right hand,
- Iwe ya milango mitano,
- Iwe yenye uwezo wa kubeba watu 8
- Anyother specifications kadri mtakavyoona inafaa.