Mkiambiwa CCM imeifanya Tanzania kuwa kuzimu hamsikii, sasa Kigari cha Paso cha wizi utakiuza sh ngapi?Gari aina ya Passo T725 DGL limeibiwa maeneo ya kimara stop Dar es salaam majira ya alfajiri kuamkia alhamisi, kwa yeyote atakaye fanyikisha zoezi la upatikanaji wa hili gari tunaomba awasiliane na no zifuatazo 0718374891 au a report kituo chochote kile cha police.zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakae fanyikisha zoezi la upatikanaji wa gari hili.
View attachment 502454

Gari aina ya Passo T725 DGL limeibiwa maeneo ya kimara stop Dar es salaam majira ya alfajiri kuamkia alhamisi, kwa yeyote atakaye fanyikisha zoezi la upatikanaji wa hili gari tunaomba awasiliane na no zifuatazo 0718374891 au a report kituo chochote kile cha police.zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakae fanyikisha zoezi la upatikanaji wa gari hili.
View attachment 502454
Acha kuleta siasa za maji taka. Wizi wa magari upo dunia nzima tena gari za bei nafuu ndio zinaongoza kuibwa kwasababu zina wateja wengi.Mkiambiwa CCM imeifanya Tanzania kuwa kuzimu hamsikii, sasa Kigari cha Paso cha wizi utakiuza sh ngapi?
mtu huyo huyo aliyekuwa sehemu ya serikali mbili zilizopita na akashiriki kwenye maamuzi mengi ya serikali hizo leo hii amegeuka na kuanza kuwaponda watangulizi wake na kuharibu hata kile kidogo walichokijenga, nchi haijawahi kuwa na pesa chafu, ni chuki tu na roho ya kikatili ndo imetawala Kwa huyu mtu, Kama pesa za ufisadi zimeondolewa mitaani ziko wapi pesa halali za maendeleo?
Insurer hakulipi the same amount labda kama gari imekuwa insured ndani ya miezi miwili toka kuingizwa Nchini.Toa taarifa polisi, toa taarifa kwa insurer wako then sit down relax let people do their job. Au hujalipia insurance?
Mimi wakiniibia nitashukuru kwasababu watakuwa wamenirahisishia kubadili gari!
Sasa wewe unategemea gari ulionunua mwaka jana hata ukiuza upate hela ile ile? Unauza unsongeza unanunua ingine. Insurer ananilipa kinachostahili naongeza nanunua ingine.Insurer hakulipi the same amount labda kama gari imekuwa insured ndani ya miezi miwili toka kuingizwa Nchini.
Kama una gari yenye thamani ya Milioni kumi na umeitumia kwa mwaka mmoja utapigwa depreciation ya mwaka mmoja na pengine kulipwa milioni tisa, hapo hujaondoa excess ya 5%!!
Maana yake ili upate gari la aina ile ile na bei ile ile itabidi uongeze salio
Sasa wewe unategemea gari ulionunua mwaka jana hata ukiuza upate hela ile ile? Unauza unsongeza unanunua ingine. Insurer ananilipa kinachostahili naongeza nanunua ingine.