Wadau wenzengu wa jf naomba ushauri nataka kununua gari ain ya Noah milango 5, nijuzeni mtandao upi ni wa garama nafuu na na siyo wa kitapili. naomba msaada wenu tafadhali.
SBT Japan kwa sasa wako vizuri sana. wameanzisha program yao ya kupakia magari kwenye meli na kuunza yakiwa njiani kuja Tanzania hivyo inachukua chini ya wiki mbili kulipata gari lako. Mano kuna meli imefika tarehe 20th October ina magari ya 1500, kuna nyingine inafika tarehe 26 na tarehe 6 Nomber hivyo wahi kulipia ili upatiwe document mapema uweze kuandelea na mchakato wa kulitoa bandarini. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi info@gmconsultz.com ama 0737 208872
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.