Sasa hapo unauza gari au unataka kua admin wa group? Maana wanaweza kuja watu 50 Whatsap, utafanyaje. Kama unapenda tuje Whatsap, futa tangazo humu. Kisha njoo na thread mpya ya kualika watu WhatsApp groupNitafute kwa namba hii. Nikurushie whatsapp picha
Acha kuuza gari kiujanjaujanja weka maelezo ya kutosha napicha pia ni muhimu.We unataka njoo. Acha maneno