Car4Sale Gari aina ya Canter inauzwa

Wakuu ipo gari aina ya Canter inauzwa kwa bei ya M18 ikiwa bado ni nzima kabisa na haina udalali wowote, karibuni

My number.
0714 664 520
 

Attachments

  • IMG-20221016-WA0004.jpg
    151 KB · Views: 44
  • IMG-20221016-WA0002.jpg
    120.2 KB · Views: 42
Ya kubebea barafu au?
Mbona ina friji mkuu
Je hiyo friji naweza kuitoa?
Inauwezo wa kufanya matumizi ya fridge na bado unaweza kuitoa pia...ila kuitoa inakuw ni juu yake mteja.

Karibu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…