Gari aina nissan patrol inauzwa

Gari aina nissan patrol inauzwa

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Gari aina ya nissan patrol diesel engine inauzwa. Ina engine cc 4139.Gari iko bomba na iko barabarani. Bei ni milioni 19 maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga 0763969066
 

Attachments

  • IMG_0040.JPG
    IMG_0040.JPG
    207.4 KB · Views: 137
  • IMG_0039.JPG
    IMG_0039.JPG
    165.5 KB · Views: 114
  • IMG_0041.JPG
    IMG_0041.JPG
    181.5 KB · Views: 111
  • IMG_0043.JPG
    IMG_0043.JPG
    192.7 KB · Views: 98
Aisee....

Kila la kheri. Hiyo size ya engine hii gari itawafaa sana wenye undugu na mwarabu.
 
Aisee....

Kila la kheri. Hiyo size ya engine hii gari itawafaa sana wenye undugu na mwarabu.

hahahaa, mashine ya kazi hiyo kaka. sema bei amesimamia pakubwa sana kwa gari ya zamani hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom