malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,897
- 4,660
Nataka inayofika saa tatu..hizi za magazeti sku hizi hamna alafu hizo Israel anakua karibuChukua gari za magazeti. Yani unafika Morogoro baada ya dakika 45
Panda treni ya SGRWakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Uongo mkubwa.Nataka inayofika saa tatu..hizi za magazeti sku hizi hamna alafu hizo Israel anakua karibu
Nenda magufuli stendi panda basi zinazoenda mkoa kama mwanza,kigoma,tabora au mbeya.Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Mkuu sgr nimegonga mwamba tiket online hakuna hapo nimebook kutafuta tiket ya Leo hakuna na kesho hakuna zimejaaPanda treni ya SGR
Ya kufika saa Tisa usku sintalala stand MoroPanda ya za saa tano usiku utafika saa 9 usiku. Ya saa 12 utafika NNE unusu au tano
Ndege ya Moro one way sighali sisi maisha ya unga mwanaNdege ipo
Ukipanda gari za mbeya moro saa 2 tuWakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Sasa panda ya Moro ya saa 12 kama hujafika saa sitaYa kufika saa Tisa usku sintalala stand Moro
Usiseme kitu usichokijua mwaka 2020 nadhani iliua mwanachuo na alikua karibu kufika mbeyaUongo mkubwa.
Kwa miezi sita toka mwaka uanze hakuna taarifa yoyote ya ajali ya gari za magazeti.
Ooooh, kumbe sgr inajaa sanaaMkuu sgr nimegonga mwamba tiket online hakuna hapo nimebook kutafuta tiket ya Leo hakuna na kesho hakuna zimejaa
Gari Gani ya mbeya mfanoUkipanda gari za mbeya moro saa 2 tu