Habari wana Jf!!
Nadhan mnakumbuka niliomba ushauri kuhusu tiba ya jino bila kung'oa,nawashukuru wote mlionipatia ushauri mwingi ikiwemo Root canal treatment na dawa nyinginezo!!niliamua kwenda kwa hospital kumuona doctor wa meno,mwanzoni nilipigwa xray ili kubaini kiini cha tatizo na nikapewa dawa tu za kutumia kwa maelezo kuwa tatizo likiendelea nirudi tena!!Baada ya kutumia dawa bila mafanikio,LEO nilirudi tena kwa doctor,na akaniambia kuna options 2 i.e Root canal treatment na kung'oa!!Kutokana na ushauri wake juu ya uhakika wa canal treatment kwamba huwa inafeli na huenda tatizo likajirudia baada ya muda!!Niliamua kung'oa jino!!!
SASA,WASIWASI WANGU NI JUU YA GANZI NILIYOCHOMWA KWANI HADI HIVI SASA BADO KICHWA CHOTE KIZITO NA TAYA LOTE!!JE,GANZI HUDUMU KWA MUDA GANI?? NIMECHOMA SINDANO MBILI (2)
Naombeni mwenye mwanga juu ya hili anieleze,manake napatwa na mashaka isije ikawa ndo kuparalize upande mmoja wa kichwa!!
Natanguliza shukrani za dhati!!!!