kuna hii video ya kikorea niliikuta youtube kama wiki tatu zilizopita nilivyoiona nilicheka mwanzo mwisho, sasa ni viral video youtube. nimeona na nyie mpate nilichokiona