Al ahly tunaenda kumpiga kule kule kwao.Leo wachezaji wa Yanga hawakucheza kitimu kama mechi na mtani, wakiendelea hivi makundi tutaumaliza mwendo,
Wao waliamua kutumia fursa kuonesha uwezo binafsi, kwa vile klabu bingwa inaoneshwa Dunia nzima, walikuwa anao anao tu hawaangalii pembeni wala kutoa pasi...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Al ahly tunaenda kumpiga kule kule kwao.
Kutoka kwenye "lazima Al Ahly afe nyingi kwa Mkapa"....mmefika huko tena?Al ahly tunaenda kumpiga kule kule kwao.
Kule kwao muingie uchi kabisa leo si mliingia na misuliAl ahly tunaenda kumpiga kule kule kwao.
Shida yetu ni kuwapa Elimu Watopolo kuwa kuingia robo fainali si jambo jepesi jepesi, hivyo Simba iheshimiwe kwa kuingia hatua hiyo mfululizo kwa miaka kadhaa.Makolo shida yenu ni nini haswa?
Upo sahihi kuna matukio machache walifanya hivyo Ila Kwenye takwimu za mwisho yanga waliizidi al ahly Kwenye asilimia za usahihi .Wachezaji wa YANGA Wana shida ya kutetemeka miguu,pasi nyingi wanampa adui. Ukitaka kumuweza mwarabu lazima uwe na lijitu mbele lenye miguvu na mbio zaidi ya bolt. Lakini hivi vipas vya Moja Moja wajamaa wanajua kuziba nafasi hutoboi
Farid alikua hata sub? Mara ya mwisho hata kumuona tu Farid Musa uwanjani ilikua lini?Ye mwenyewe kachelewa sana kufanya sub halafu Farid Musa huwa anacheza namba tatu vizuri zaidi ya kibabage ila inaonekana hayuko kwenye mipango yake
Musonda angeingia mapema na Mudathir game ingekaa poa
Sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ye mwenyewe kachelewa sana kufanya sub halafu Farid Musa huwa anacheza namba tatu vizuri zaidi ya kibabage ila inaonekana hayuko kwenye mipango yake
Musonda angeingia mapema na Mudathir game ingekaa poa
Utopolooo tatizo lenu ni nn haswaa?Makolo shida yenu ni nini haswa?
rafiki farid mussa aliumia bado anafanya mazoezi baada ya kutibiwaYe mwenyewe kachelewa sana kufanya sub halafu Farid Musa huwa anacheza namba tatu vizuri zaidi ya kibabage ila inaonekana hayuko kwenye mipango yake
Musonda angeingia mapema na Mudathir game ingekaa poa
Al ahly tunaenda kumpiga kule kule kwao.
Shida yetu ni kuwapa Elimu Watopolo kuwa kuingia robo fainali si jambo jepesi jepesi, hivyo Simba iheshimiwe kwa kuingia hatua hiyo mfululizo kwa miaka kadhaa.
Kumbuka:kuingia makundi tu umetumia takribani miaka 25.