Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 207
- 114
Masoko mtandao ya kichinaUlipita madukani au Facebook na Instagram au AliExpress au eBay au amazon au Alibaba?
Hii laptop ni ya kazi gani mkuu? Maana sijawahi kusikia jina kama hiloHabari wakuu.
Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo.
Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu zaidi kuliko laptops za brands nyingine zilizo na specifications sawa. Kuna mtu yeyote amesikia kuhusu brand hii ya gaming laptops za Mechanical revolution (Mechrevo) hapo awali (mimi sijasikia).
kuna mtu anaweza kunisaidia kutafiti kompyuta hizi za mkononi ili kuona kama ni nzuri au la? ubora , upataji moto wakati wa matumizi makubwa upoje, kwa mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia brand hii naomba maelezo zaidi.
Sina uhakika wa kuziamini kwa sababu ni za bei nafuu na sijawahi kuzisikia hapo awali.
Gaming Laptops niliyokutana nayo ilikua na specifications zifuatazo kwa bei ya tsh 1.3M pamoja na shipping.
Processor: Ryzen 5 6600H
GPU: RTX4050 6GB
RAM: 16 GB DDR 5 4800 MHz
Storage: 512 GB SSD PCle 3.0
Screen size: 15.6" FHD 165HZ 100%SRGB
Ni gaming laptop mkuu pia inaweza kutumiwa na Architects, Engineers, Graphics designers, Programmers, video editors etc.Hii laptop ni ya kazi gani mkuu? Maana sijawahi kusikia jina kama hilo
Picha yake
link hii hapa mkuuAngalia kwanza bei vizuri soma na description, sometime unaandikiwa 1.3M bei ila wakati wa kununua unakuta ni 2M, ila ipo version ya 1.3M bila Gpu ungeweka na link ingekuwa vizuri.
Utalizwa mkuu, nimeamgalia seller mwenyewe anayeziuza mgeni, halafu hajauza hata piece moja, so probably huyo ni scammer.Habari wakuu.
Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo.
Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu zaidi kuliko laptops za brands nyingine zilizo na specifications sawa. Kuna mtu yeyote amesikia kuhusu brand hii ya gaming laptops za Mechanical revolution (Mechrevo) hapo awali (mimi sijasikia).
kuna mtu anaweza kunisaidia kutafiti kompyuta hizi za mkononi ili kuona kama ni nzuri au la? ubora , upataji moto wakati wa matumizi makubwa upoje, kwa mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia brand hii naomba maelezo zaidi.
Sina uhakika wa kuziamini kwa sababu ni za bei nafuu na sijawahi kuzisikia hapo awali.
Gaming Laptops niliyokutana nayo ilikua na specifications zifuatazo kwa bei ya tsh 1.3M pamoja na shipping.
Processor: Ryzen 5 6600H
GPU: RTX4050 6GB
RAM: 16 GB DDR 5 4800 MHz
Storage: 512 GB SSD PCle 3.0
Screen size: 15.6" FHD 165HZ 100%SRGB
Tsh 1.3MBei yke
Kulizwa kivipi mkuu?Utalizwa mkuu, nimeamgalia seller mwenyewe anayeziuza mgeni, halafu hajauza hata piece moja, so probably huyo ni scammer.
Na hata hakuna PC ya hiyo company ilonunuliwa hapo.
Assume mkuu ni kweli hii laptop ipo, bei sio mbaya, ila kuna Question mark nyingi sana kama alivyokwambia mdau hapo juu seller hajulikani, pia battery ya hio laptop ni around 40Wh ni battery ndogo sana kwa Cpu hio na hio gpu ina maana ukiwa unacheza games tegemea ikae na chaji kama nusu saa hivi mpaka lisaa limoja.link hii hapa mkuu
Sawa mkuu nimekupata vizuri, nimepata mwanga sana hususani kwenye uwezo wa kutunza chaji, naona chaguo zuri ni kutafuta ya mtumba inayo karibiana ufanisi kaziAssume mkuu ni kweli hii laptop ipo, bei sio mbaya, ila kuna Question mark nyingi sana kama alivyokwambia mdau hapo juu seller hajulikani, pia battery ya hio laptop ni around 40Wh ni battery ndogo sana kwa Cpu hio na hio gpu ina maana ukiwa unacheza games tegemea ikae na chaji kama nusu saa hivi mpaka lisaa limoja.
Kama unatumia kama desktop replacement na mda wote Utakua unaiacha kwenye charge hapo sawa.
Otherwise hapa Tz ukicheki vizuri zipo laptop nyingi za mtumba around hio bei na perfomance inayo karibiana.
Angalia review, utakuta ana % 00.link hii hapa mkuu
Chief nataka nivute Lenovo T440p Nimeona Zina render nzuri NVDA GTX 710 Hivi itanifaa sana Kwa gamingAngalia kwanza bei vizuri soma na description, sometime unaandikiwa 1.3M bei ila wakati wa kununua unakuta ni 2M, ila ipo version ya 1.3M bila Gpu ungeweka na link ingekuwa vizuri.
Ah wapi, Gtx 710 kimeo mkuu,Chief nataka nivute Lenovo T440p Nimeona Zina render nzuri NVDA GTX 710 Hivi itanifaa sana Kwa gaming
Naomba kujua duka nzuri iwe posta ama kariakoo dealer mzuri hata refurb nijibless mzee
350 mzee maana Lenovo Hizo Nimeona zinacheza hapoAh wapi, Gtx 710 kimeo mkuu,
Budget kiasi gani unayo mkuu?