popo1986 JF-Expert Member Jul 30, 2014 1,120 371 Jul 18, 2016 #1 Wanajamvi habari zenu natafuta Game za warfare, mfano Zile za Call of Duty modern warfare, kama kuna zinazofanana na hyo naomba uni PM
Wanajamvi habari zenu natafuta Game za warfare, mfano Zile za Call of Duty modern warfare, kama kuna zinazofanana na hyo naomba uni PM
Mwandwanga JF-Expert Member Dec 2, 2011 3,059 1,568 Jul 18, 2016 #3 popo1986 said: Wanajamvi habari zenu natafuta Game za warfare, mfano Zile za Call of Duty modern warfare, kama kuna zinazofanana na hyo naomba uni PM Click to expand... Nina Call of Duty
popo1986 said: Wanajamvi habari zenu natafuta Game za warfare, mfano Zile za Call of Duty modern warfare, kama kuna zinazofanana na hyo naomba uni PM Click to expand... Nina Call of Duty
lameck laedo Senior Member May 15, 2016 174 76 Jul 18, 2016 #4 Hizo game unataka kwa kifaa gani.? Pc, PS, Android, IOS?