Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,723
- 2,419




Sasa kama azam kabla ya kucheza na simba alikua kacheza mechi 4 bila kushinda ulitegemea amfunge simba?
Azam alizidiwa uwezo na anazidiwa uwezo
Hapa Tanzania hakuna timu inayoweza kuizidi simba uwezo
Sent using Jamii Forums mobile app