Dah! Shukrani sana, hizi series zilinipa kiwewe, haswa wakati tarumbeta za wildlings zilipigwa wakianzisha uvamizi kwenye Wall.
Na pale pia kwa uvamizi wa night walkers, mazombi ya kiajabu aisei yakiuawa yanafufuliwa mpaka ikawa hopeless, ila ni series kali sana zinakuweka kwenye edge of the seat muda wote full presha, pia kuna maeneo yalikua kama porn vile, sio ya kutazama na walio chini ya umri, mapanga na umwagikaji wa damu.