ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,207
Wadau naomba kufahamishwa website ambazo naweza kupata game nzuri za action zenye memory ndogo,ziwe ni game zenye risasi nyingi na main character awe anaweza kutembea,kushoot na kufanya mambo mengine mengine asiwe mfuksa tu...Nipewe website au mtu aniuzie tu kwa makubaliano ya kunitumia Game kwa email ikiplay kwenye pc yangu nampa chake kulingana na makubaliano...mfano game kama ya IGI covert strike....ukiniambia una game flani nai google nakwambia kama nimeipenda au hapana.NB:wizi sina na PM RUKSA..


