Game ni baada ya muda gani?

Natongoza naomba game hapo hapo. Napiga na magoti, "mama nina miaka sijapata hii kitu. Nihurumie tafadhali you are so sexy nakupenda na ulivyo hivo lazima nitakufikisha nchi ya ahadi kwa mahaba." Mara basi vumilia kesho nitakupa. Kesho, wayaaa wayaaa wayaaaa... Ahsante Kwasi.
 
wengine mpaka wakajadili na ukoo wao ndo aje akupe game la nyoka.
 
Wanataka tukae miaka kama wahindi huku ukimhudumia kwa kila kitu bila kukupa game(hapo wanaona fair)😀😀😀😀
 
NB. Kipindi chote cha matazamio iwe siku wiki mwezi mwaka mlongo n.k tafadhari usitoe helaaa.
Ngoja nirudie usitoe hela wala fedha wala nyuruku
Mwisho kabisa usitoe Mzee, yaaani usitoe haswa kitu kinachoitwa hela au mapene mkae hivyo hivyo mnauziana nyago
 
Kwa jinsi walivyo mbona atakimbia mwenyewe, kwa maneno kuwa una mkono wa birika a.k.a bahiri
 
Haina mda maalum unaweza mtokea asubuhi ukala jioni pia unaweza mtokea leo ukala mwezi wa 12 ni wewe tu unavyoandaa mazingira
 
Kimsingi unapomtongoza mtoto wa kike hutakiwi kuonesha kwamba una uchu sana wa kufanya nae ngono na hapa ndipo vijana wengi wanafeli.Ukishamtongoza mtoto wa kike na akakuambia kwamba ngoja afikirie hapo unachotakiwa kufanya kumuonyesha care ya hali ya juu kiasi kwamba hutohitaji tena kuulizia jibu, mambo ya kuulizia jibu au siku gani mtagegedana hayo ni mambo ya kizamani.Mfanye mtoto wakike yeye mwenyewe ajiskie kungonoka na wewe na sio kuanza kuulizia mapema mana hapa uvumilivu unahitajika kidogo vinginevyo hata kama mtoto wakike amekupenda vipi atakuona kama unataka kumchezea.Mfanye mwanamke yeye mwenyewe avutike kungonoka na wewe na sio wewe kuanza papara za kumuuliza iyo mambo.
 
Bahati mbaya sana, wao siku ya kwanza wanaomba hela...sasa wewe ukiomba papuchi ngongwa!
 
Hii ni kama una mpango naye wa muda mrefu. Je kama wewe unataka kugegeda na kusepa?
 
Huyu wa sasa alinikubalia jumamos alhamisi nikamlala, hesabu mwenyewe
 
Hii ni kama una mpango naye wa muda mrefu. Je kama wewe unataka kugegeda na kusepa?
Hakuna cha mpango wa muda mrefu wala nn, dame anagongwa time yoyote
 
Mission fail game over mkuu ukifika stage hiyo hatuongei tunatumia universal law anza game upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…