Game ni baada ya muda gani?

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,228
Reaction score
5,522
Una mtokea manzi, mkakutana na kuchati siku mbili tatu, unamuomba game. Matokeo yake anakuja juu, umeniona mimi malaya au cheap girl. Yaani anachukia eti mmekutana juzi tu leo una muomba game.


Sasa hivi unatakiwa ukae muda gani tangu unapokutana na manzi ndo uombe game?
 
Kuna kitu kinaitwa lugha ya picha / course over effect hii formula inapatikana ktk kitabu cha the secret na shogun law yaan hawa watu utawala mpka utawakinai
 
Huruma gani hivi hujawai kuona uchumba wa walokole yaani uchumba unadumu miaka mitano ha hakuna kukutana kimwili iseeee me hata miezi sita naona kawaida tu kama unanipenda utasubilia kama hunipendi sepa
We unawaona uwa akili zinawatosha kweli? Uo ni upumbavu na Uzwazwa wa hali ya Juu.
 
Aisee, miaka mitano kwani tunapigania uhuru au?.Sema kivyovyote vile ishu ya msingi sana ni uaminifu tu sababu mnaweza kaa hata hiyo miezi sita na bado mmoja wenu akala/kuliwa nje.
Hilo nalo neno
 
We unawaona uwa akili zinawatosha kweli? Uo ni upumbavu na Uzwazwa wa hali ya Juu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] eti uzwazwa hakika usha nishinda tabia
 
Ndani ya mwezi mmoja tu, mbali na hapo nakulaga kona maana nina historia ya kusubiria bila tendo la unyumba kwa miaka 2 ya uchumba halafu baadae ikala kwangu.
 
Usiombe game wewe Mambo ya kitoto Ayo gmdemu mpaka ameiukubalia just amekuelewa so we hapo ni kujiongeza mi ndo uwa hata awanisumbuagi napiga Lita ndani ya gari navua chupi natomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…