Game designers in Tanzania

mmwamba Yah! your needed unatumia language gani ? na wewe ladyfurahia unachezaga tu au una development proffession yoyote ?
Either graphics, programming animation etc
 
Vipi wadau naona kimya sioni namba zenu ni watu wachache sana walionitafuta niwaunge kwenye group la WhatsApp
cc ladyfurahia, mmwamba, parameter, baldin, Joel360, quantumQ, Freelancer, Pruner na wengine
 
Great idea mm ni software developer lakini sijawahi fanya game development. But your idea is good.
Its a step forward kwenye design, graphics n development.
"This is how legends are born "
 
sasa mpeni ethicx namba ili discusion iendelee mi kimeo changu hakisapoti whatsapp
 
Vipi wadau naona kimya sioni namba zenu ni watu wachache sana walionitafuta niwaunge kwenye group la WhatsApp
cc ladyfurahia, mmwamba, parameter, baldin, Joel360, quantumQ, Freelancer, Pruner na wengine
Nimeku PM bosi
 
kuna kagemu ka android nimekaona playstore kana addictive effects na graphics kama flappy bird, na kametengenezwa na jamaa mbongo. kanaitwa kifimbo man. hebu mkaone mtoe review zenu
 
bora useme ili hawa wataalam waone kuwa inawezekana ku-develop
 
kuna kagemu ka android nimekaona playstore kana addictive effects na graphics kama flappy bird, na kametengenezwa na jamaa mbongo. kanaitwa kifimbo man. hebu mkaone mtoe review zenu

Lile game nimeliona,jamaa i doubt kama ktengeneza maana ni complete rip off ya game flani linaitwa Stick Hero...
Anyone can buy online au download the code afu akatumia kama yake... A new idea always works best
 
1000% stick hero rip off too bad huyu jamaa nilikuwa sijaishtukia hii.... nilimpa review nzuri google play kumbe kanakili...
 
Umeongea jambo kubwa sana, kwa mtu mmoja huwezi kutengeneza games kwani itakuchukua mda mrefu sana miaka kadhaa. For sure if your interesting in making games i can help for that, i know you need people for modelling objects, you need people to do reseach for a game story, you need people for animation a lot of things etc.. call me my number 0717238773.
 
Lile game nimeliona,jamaa i doubt kama ktengeneza maana ni complete rip off ya game flani linaitwa Stick Hero...
Anyone can buy online au download the code afu akatumia kama yake... A new idea always works best
Hahah labda bhana haja copy let's appreciate kajitolea , isije kila mtu mtamwambia ka copy likifanana na angry bird mwingine akitengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…