Hamna rangi mtaacha kuona safari hii. Gambo ni kijana damu bado inachemka. Anapiga kazi hata vipofu wanaona. Kiongozi anaeacha salama. Hakai ofcn tu unamkuta maporini huko anapiga kazi. Na ile team yake GDK yana hapo ni Gambo, DC na Kihamia mkurugenzi wanapiga kazi haswaaa. Sisi wale Wana Arusha tupo nyuma yake na akigombea tu tunampa. Hilo ndo ujue Mkuu.Hata akifungua miradi 10000 anatekeleza wajibu wake kwa mshahara anaolipwa asijidanganye kugombea ubunge hapa Arusha maana tulisha ifuta ccm.
Atarudi kuvuna chumvi na mikono kichwaniHamna rangi mtaacha kuona safari hii. Gambo ni kijana damu bado inachemka. Anapiga kazi hata vipofu wanaona. Kiongozi anaeacha salama. Hakai ofcn tu unamkuta maporini huko anapiga kazi. Na ile team yake GDK yana hapo ni Gambo, DC na Kihamia mkurugenzi wanapiga kazi haswaaa. Sisi wale Wana Arusha tupo nyuma yake na akigombea tu tunampa. Hilo ndo ujue Mkuu.
Lema katulizwa mshonoWaliopagawa ni maccm kwani Arusha sasa kwa ccm ni sawa na USA na North korea
Gambo kawashika sana ndio maana mnaweweseka, unafikiri ubunge una hati miliki ya mtuHata akifungua miradi 10000 anatekeleza wajibu wake kwa mshahara anaolipwa asijidanganye kugombea ubunge hapa Arusha maana tulisha ifuta ccm.
Yani hujielewi wewe Moshi Arusha wana misimamo sana Milionea Mosha wamemfilisi alikuwa anamwaga pesa mpaka Leo kayumba kibiashara kisa siasa na ubunge kakosa itakuwa huyo Mrisho Gambo Choka mbayaLema katulizwa mshono
Mikono mushaiweka nyinyi Kichwa ni, ile ni namba ingine Mkuu. Yule kijana ni nomaaaa. Wale Wana Arusha tunamkubali sanaaaaAtarudi kuvuna chumvi na mikono kichwani
Kwanini yeye amekuambia anataka ubunge Arusha au fikra zako potofu mkuu?? Gambo ni mkuu wa mkoa na anatimiza majukumu yake ya kazi ktk kuwatumikia wanachi, sasa hayo mengine unayosema ww ni ushabiki na fitina mkuu, jaribu kuelimika na kuondoa fikra mgandoHata akifungua miradi 10000 anatekeleza wajibu wake kwa mshahara anaolipwa asijidanganye kugombea ubunge hapa Arusha maana tulisha ifuta ccm.