Gambo fanya kila kitu Arusha lakini Ubunge sahau

Mikono mushaiweka nyinyi Kichwa ni, ile ni namba ingine Mkuu. Yule kijana ni nomaaaa. Wale Wana Arusha tunamkubali sanaaaa
kwanza vijana wa arusha hawanaga huo msamiati wa 'wana ' arusha haewezi hata siku moja kukubali ccm bora chama kingne cha upinzani lkn sio ccm maishaaaaa
 
Hamna rangi mtaacha kuona safari hii. Gambo ni kijana damu bado inachemka. Anapiga kazi hata vipofu wanaona. Kiongozi anaeacha salama. Hakai ofcn tu unamkuta maporini huko anapiga kazi. Na ile team yake GDK yana hapo ni Gambo, DC na Kihamia mkurugenzi wanapiga kazi haswaaa. Sisi wale Wana Arusha tupo nyuma yake na akigombea tu tunampa. Hilo ndo ujue Mkuu.
Unaandika huku unatetemeka kwa uongo ! Alikuja Monaban mlitudanganya hivihivi , matokeo yake mkagawana unga wa bure mpaka amenyang'anywa kiwanda .
 
Sasa hapo unajisifia nn.lema ameshajua hali yake arusha inakuja 2020.gambo ndo habar ya mjin kwass yaan hakuna mkuu wamkoa mwenye mahesabu kama gambo mtt wa a town amempoteza lema vibaya.hata yale matusi yake saiv hakuna adabu debe
Nitajie faida 3 tu za uongo wako ulizopata tangu uanze hiyo tabia mbaya.
 
Hamna rangi mtaacha kuona safari hii. Gambo ni kijana damu bado inachemka. Anapiga kazi hata vipofu wanaona. Kiongozi anaeacha salama. Hakai ofcn tu unamkuta maporini huko anapiga kazi. Na ile team yake GDK yana hapo ni Gambo, DC na Kihamia mkurugenzi wanapiga kazi haswaaa. Sisi wale Wana Arusha tupo nyuma yake na akigombea tu tunampa. Hilo ndo ujue Mkuu.
....
.....mkipata kura 5 naacha kubeba box
 
Yaani kati ya watu wa hovyo kuwahi kutokea duniani ni huyu Gambo. Ameuwa mradi wa maji makilenga uliogharimu zaidi ya 5 billioni fedha za wafadhili. Hafai hata ukatibu wa kijini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom