kwahiyo wewe umekuja kuwasaidia akina rejeo si ndio?Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.
Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.
hapana nimekuja kusaidiana na wote wenye nia ya dhati ya kuikomboa nchi yetukwahiyo wewe umekuja kuwasaidia akina rejeo si ndio?
Karibu sana uwasaidie maana sasa hivi wamepungua, wanakuhitaji sana!Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.
mkuu igunga siifaham zaidi ya kuisikia tu,.pilau tena?. Cjahudhuria hyo function.Habari ya igunga? Naskia jana mlikua manzese kwenye pilau
asante sana,pamojakaaaazi kweli kweli. Mmmmh akina mwita25,ms nk. Haya hata hvyo karibu sana!.
sangara,asante sanakaribu sana....
mapinduzi?,eeeh ndo nini tena?. Nchi haipinduliwi niamini mimi.karibu sana joto unalijua hapa ni mapinduzi tu!
Umejiunga kwa mbwembwe kweli, lakini Mwita25 hayupo kikosini tena ila Rejao na wenzake wanakukaribisha kwa mikono miwili uikomboe nchi sijui nchi gani!mapinduzi?,eeeh ndo nini tena?. Nchi haipinduliwi niamini mimi.
mkuu asante sana kwa kunikumbusha rules japokuwa nilishazisoma maana nilikuwepo humu as guest kwa miezi 18 nimeamua kuingia baada ya kuona upotoshwaji mkubwamkuu gambaz mbona huyu mwita25 kabadilika hadi MS amemwanzishia uzi sio na wewe ni kigeugeu.. pitia na hapa sawa JamiiForums Disclaimer and Rules
ka umekuja kwa nia ya kusaidiana na hao kuikomboa nchi yako basi umepoteahapana nimekuja kusaidiana na wote wenye nia ya dhati ya kuikomboa nchi yetu
kivipi na unaweza kuthibisha hilo?ka umekuja kwa nia ya kusaidiana na hao kuikomboa nchi yako basi umepotea
hapana nimekuja kusaidiana na wote wenye nia ya dhati ya kuikomboa nchi yetu