Jaman si mgeni sana maana nilikuwepo kwa zaidi ya miezi 18 leo nimeamua kujoin kuunganisha nguvu ktk ukomboz...wote nimevutiwa na michango yenu but hao wafuatao ndo hasa wamenivuta kuungana nao ktk kuikomboa nchi: Rejeo, MS, Mwita25, Atwm52, tuntu, Yo yo, Thatha na wengneo.