Halafu hizi mbona zimekuwa nyingi?!.. wachina washatumia fursa nini?!. Kuna mwenzako anataka kuniuzia kama hiyo kwa 450 nimemweka pending kwanza kwa uchunguzi.
Kuna utitiri wa iphones na izo smart samsung alafu kwa bei izoizo najiuliza ni clone au refurblished? Na kwenye mitandao inayouza vitu mtandaoni! Wachunguzi wa mambo embu tuambiane! Mbona too cheap? Simu ya 1mil iuzwe laki 4 ?