B baba-mwajuma JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 5,881 Reaction score 12,440 Nov 4, 2015 #1 simu aina ya galaxy note 3 original inauzwa shilingi laki 6. simu haijatumika sana na sababu ya kuuzwa ni kwamba nimepata galaxy note 4 hivyo nauza hii 3. specs zake zione hapa Samsung Galaxy Note 3 - Full phone specifications kwa uharaka unapata kioo full hd cha inch 5.7, processor nzuri ya snapdragon 800 na ram ya 3gb. kama unahofia za kichina sema test yako unayoipenda halafu nitatest nikuonyeshe kwa mawasiliano tuma pm au sms/piga namba hii +255629100266
simu aina ya galaxy note 3 original inauzwa shilingi laki 6. simu haijatumika sana na sababu ya kuuzwa ni kwamba nimepata galaxy note 4 hivyo nauza hii 3. specs zake zione hapa Samsung Galaxy Note 3 - Full phone specifications kwa uharaka unapata kioo full hd cha inch 5.7, processor nzuri ya snapdragon 800 na ram ya 3gb. kama unahofia za kichina sema test yako unayoipenda halafu nitatest nikuonyeshe kwa mawasiliano tuma pm au sms/piga namba hii +255629100266