Galaxy note 2

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Nahitaji kwa 600,000/ iwe mpya na ORIGINAL. Ni PM au 0656299246 tufanye biashara
 
Kwa bei hiyo labda ukanunuliwe simu maduka ya Mombasa ama Zanzibar lakini kwa wadau wa huku Tanzania bara utapigwa tu kuanzia Laki 8
 
Kwa bei hiyo labda ukanunuliwe simu maduka ya Mombasa ama Zanzibar lakini kwa wadau wa huku Tanzania bara utapigwa tu kuanzia Laki 8

Frankly speaking, his price is low for Note 2. It is better if he will look for Smartphone (Samsung Galaxy S3, if he is a Samsung Fan-Boy) or others.

For that price, he may get Note 2 from Xi Jinping.
 
Nahitaji kwa 600,000/ iwe mpya na ORIGINAL. Ni PM au 0656299246 tufanye biashara
Unge specify, maana hizo note 2 zinamatoleo yake kama vile GT-N7100, GT- N7102 GT- N7105 etc
 
Unge specify, maana hizo note 2 zinamatoleo yake kama vile GT-N7100, GT- N7102 GT- N7105 etc

any of the above, pia nahitaji s4 kwa 550,000 original
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…