Wakuu mambo vipi nina s3 mpyaa kwenye boksi laki6, s4 mpyaaa kwenye boksi laki8, s4-mini laki6 na note 2 laki 750 iphone 4s kwa 500 with ios7 na iphobe 4 laki450 with ios 7 ur mostly welcome...View attachment 114836View attachment 114837View attachment 114838View attachment 114839View attachment 114841View attachment 114839View attachment 114842View attachment 114836
Mkuu Kiranga unazungumzia hipii hapo iphone ninii...
Mkuu Nokla huko chini sana mzee kumbuka simu ni mpyaa siyo 2nd hand mzee..
Mkuu huwezi itambua clone kwa macho, hata imei finder na antutu hazifui dafuAhahahha! Dont judge by its look mzee s4 naijua vizurii sana hii yenyewee nadhani view yake haikuwa nzuri kwenye kuipiga picha...
Mkuu sili mbona hiyo s4 imekaa kama clone vile