galax s4 clone

Naomba kuchangia hoja hapa, kama mtu mnatumia mtandao nenda Amazon.de ukaone bei za simu na unaweza kununua pia...tuachane na bei hizi za kuumizana Dar

Kwa nini mtanzania akanunue amazon ya ujerumani? nunua amazon ya uk ama us. btw, si kila mtu lazima agize, maduka si yatafungwa?!
 

ndio hapo jamaa hawajamdanganya mteja sababu wanasema kuwa ni no 1 na sio samsung na wanasema wanatumia mediatek na wanasema ram ni 1gig wanasema kila kitu kama kilivyo
 
Dah,nahisi kunahaja yakwenda kubaki kule techno,ila bora nipande kidogo kutoka P3 hadi phantom Aiii, maana huku kwenye clone kunaonekana kumejaa feki za feki nyingi....
 
Dah,nahisi kunahaja yakwenda kubaki kule techno,ila bora nipande kidogo kutoka P3 hadi phantom Aiii, maana huku kwenye clone kunaonekana kumejaa feki za feki nyingi....

umeona eeh!? mi nimeamua kusubiri nokia xl , hawa hawachakachuliwi kirahisi!
 
ndio hapo jamaa hawajamdanganya mteja sababu wanasema kuwa ni no 1 na sio samsung na wanasema wanatumia mediatek na wanasema ram ni 1gig wanasema kila kitu kama kilivyo

with that design?..it says Samsung allover!....haya chief-mkwawa, tufanye ni original!
 
this is well said mkuu, big up to you!! clone ni feki,, huyu chief hawezi kusema sio feki wakati kuna an original version ya hicho kitu kinachotambulika kimataifa. Na pia ili kuweka mambo sawa, waKorea hawatengenezi clone Samsung, clones zinatoka china na majirani zake. ingekuwa kampuni ya samsung imetoa nyongeza ya S4 zenye reduced specification na wakaziita S4 Clone basi tungekuwa na official clone models za S4. otherwise, hizo simu zingine ambazo ni copy zote zinaitwa Feki!!
 
mkuu kwa hiyo bei 350 sikushauri ununue clone, utajilaumu mwenye siku ukikutana na mtu mwenye S4 original ukafanya nae comparison,,na pia muda unavyozidi kwenda watu wanajanjaruka kuzifahamu hizo clones, ukitaka kuiuza baadae utaiuza kwa 100k au chini ambayo ni hasara!! bora uendelee kukusanya pesa zako au ununue S2 Original yenye a true 8mp, 1GB Ram ukaUpgrade na firmware kuliko kutumia a clone phone yenye 8mp clone, 1gb ram clone.
 

Ok,thx mkuu licha ya kuwa jamaa kafika 280,000 ila nishakuwa na mashaka na hyo fone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…