Isack inno B
Member
- Oct 28, 2012
- 97
- 51
Ila KGT hajamtoa Diamond,alimrekodia Tu LALA SALAMA..Nyimbo imetayarishwa na KGT producer wa kitambo sana aliye watoa akina
Alikiba
Abbyskills
Diamond kidogo na wasanii wengine wengi
WimboNyimbo mzuri.. Hongera
Saws mkuu thanksWimbo
sawa kabisa mkuuIla KGT hajamtoa Diamond,alimrekodia Tu LALA SALAMA..
KGT kawatoa
Alikiba
Pasha
Quen darleen
Abby skills
Blue bayser etc...
Kasauti flani katamu, amenifanya nimkumbuke PNC
Wimbo bora wa kufungulia mwaka
Naukubali sana wimbo wake wa Samaki..
Nyimbo mzuri.. Hongera