Gairo wamafagilia kikwete

Gairo wamafagilia kikwete

kisamvumoo

Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
7
Reaction score
0
Wananchi wa jimbo la Gairo mkoani Morogoro wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi sambamba na ahadi zake alizotoa mwaka 2008 katika jimbo hilo, ikiwemo ya kuifanya Gairo kuwa wilaya inayojitegemea, ujenzi wa barabara, pamoja na visima vya maji vitakavyosaidia kuondoa adha ya maji katika jimbo hilo.
 
na wale akina mama wakaguru barabarani wamejengewa soko na vibali vya kuuza mkaa? viongozi kazi kwenu!
 
Tatizo shule tu hapa. Kuna mwanafalsafa anaitwa Paul Freire anawataja watu hawa kama watu wenye uelewa huu "Magic Consciousness" Maana yake kwamba, uelewa mdogo, hawajui haki zao, hawajui kuzidai na hata pale haki zao zinapotolewa, wanadhani ni kudra za Mwenyezi Mungu tu, au Huruma na Hisani ya aliyetoa. Hawajui kuwa ni kodi zao na kimsingi hiyo haki yao imechelewa sana.
 
Umenikumbusha mkuu huyo mwanafalsafa naomba niongezee kidogo "Education is a tool for liberation"
 
Back
Top Bottom