jf.
Daah. Mada ya muhimu kama hii hamjaipa kipaumbele zaidi ya upuuzi wa wanasiasa?
Mnasikitisha sana.
Hapa ndipo jf ilipofika?
Nawauliza, mnajuwa kuhusu maji na umuhimu wa maji kwa mtanzania? Na au mwingine yeyote duniani?
Leo tunashindwa kujadili utapeli wa wachache unaohusu maji! Au ni kwa kuwa wote mnaoingia humu mna uwezo wa kununuwa maji? Au kuyapata maji bila "effort"?
Inasikitisha sana.
Mh. Mungi Nikusalimie 1st za asubuhi, Unanisikitisha kwa Commets zisizo na mishiko hata ukweli !! nipe mradi mmoja nyeti uliyokamilishwa na wenye kuendelea uliyotimizwa hadi leo na Mtanzania halisi..! Mashirika yote Tumeyalaza na miradi yote tumefilisi. Uharibifu, ufisadi ndiyo sifa zetu Tanzania Ona hii:-[h=2]JK: Viongozi wengi wa vyama vya ushirika wezi = ippmedia leo.[/h][h=1]Tanzania declines in business ranking = The citizen,[/h]Dar es Salaam. Tanzanias competitiveness has dropped five places in a year, signalling further deterioration in the productivity of the economy.Watanzania inatakiwa tuamke muda wa kulalamika haupo tena....... Ni miradi mingapi wawekezaji wa ndani kama akina Mengi walinyimwa afu wakapewa wazungu? Inasikitisha serikali inaona wabongo hatuwezi kuwekeza hata kwenye maji. Siyo kila kitu tumwamini mwarabu/mzungu, iko siku watatuwekea sumu kwenye maji...
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu wa kaya analijua na hana jipya zaidi ya kuwadanganya wakazi wa Gairo kila siku.Wiki mbili zilizopita gari ya rafiki yangu ilifia hapo Gairo wakalala siku 3 katika shida waliokutana nayo ni kununua ndoo ya lita 20 maji kwa Tsh1000/- tena maji machafu
Shida ya maji hapo ni kubwa sana sijui wananchi wanafanya vipi maendeleo,
Kwa hili la Serengeti mkuu wa kaya ana majibu yake
Gairo itapata maji ya uhakika iwo wakazi watamchagua muwakilishi(MBUNGE) atakaewatumikia na kuwawakilisha bungeni kwa kuzingatia mahitaji ya watu wake na sio anaejali biashara zake
Ikiwa huo hawajaumaliza na wamepewa mradi mwingine mkubwa zaidi wa kutupatia maji Dar. Jee, itakuwaje?
Da Faizafoxy.
Mimi ni mwana Gairo. Nimeshtushwa na ujasiri wako kuwanyooshea kidole wanaokupa mlo per post juu ya vitu vinavyohatarisha utawala wao (Maji). Nirudi Gairo, tatizo kubwa lipo kwa ccm na viongozi wao, hawana dira wala tochi... wao wanaenda tu. Mfano hapa Gairo hapakuwa na sababu ya kutuingiza kwenye mkopo wa WB wa bil 8.6 ktk mradi wa maji chumvi, ilihali ipo natural sustainable source ya maji toka milima ya ukaguru ambayo hayana chumvi wala typhoid na yanashuka bure bila power yoyote ya umeme... isipokuwa tu system ni ya zamani inahitaji reconstruction ambayo isingezidi hata bil 2. Ubabe wa viongozi umewafanya wananchi kutoreact lakin 2015 mtajua
Gairo itapata maji ya uhakika iwo wakazi watamchagua muwakilishi(MBUNGE) atakaewatumikia na kuwawakilisha bungeni kwa kuzingatia mahitaji ya watu wake na sio anaejali biashara zake
kauli ya muhongo ni mbaya sana.tena sana.kwa watanzania wanaojua mtazamo huu wa muhongo hatutaweza kabisa kujenga uchumi wetu.wageni hawawezi kutujengea uchumi.wa nchi zao atajenga nani???lakini kwa nini mnawachagua??
Da Faizafoxy.
Mimi ni mwana Gairo. Nimeshtushwa na ujasiri wako kuwanyooshea kidole wanaokupa mlo per post juu ya vitu vinavyohatarisha utawala wao (Maji). Nirudi Gairo, tatizo kubwa lipo kwa ccm na viongozi wao, hawana dira wala tochi... wao wanaenda tu. Mfano hapa Gairo hapakuwa na sababu ya kutuingiza kwenye mkopo wa WB wa bil 8.6 ktk mradi wa maji chumvi, ilihali ipo natural sustainable source ya maji toka milima ya ukaguru ambayo hayana chumvi wala typhoid na yanashuka bure bila power yoyote ya umeme... isipokuwa tu system ni ya zamani inahitaji reconstruction ambayo isingezidi hata bil 2. Ubabe wa viongozi umewafanya wananchi kutoreact lakin 2015 mtajua
Gairo? or is it Cairo? ……….Kampuni inayoitwa Serengeti, jina la Kitaifa kabisa na la Kitanzania, ilipatiwa mradi wa kuwapa maji wana Gairo, kwa fedha nyingi sana. Jee, imewapa maji? kama jibu ni ndio! basi wanastahili kila sifa, kama jibu ni sio! Kwa nini? Tuchambuwe.
Kampuni hiyo hiyo sasa imepewa kutupa maji Darisalama. Jee, wataweza?
Kama alipewa uraia kwa mujibu wa sheria zetu, huyu ni raia! Tuache huo ubaguzi… labda kama hoja yako ni ile ya Idd Simba ya kipindi kile ya UZAWA, otherwise raia ni raia.Cha kushangaza na kusikitisha, hii sio kampuni ya Kitanzania, ni kampuni inayomilikiwa na mtu anaeitwa Ali Talebi, ni Muiran ingawa ana Uraia wa Kitanzania wa kupewa. Si mzaliwa wa Tanzania, wala wazee wake.
Hapa kama ni kweli ndo penye tatizo….panahitaji kufuatiliwa kwa karibu.…….Na kajaza wafanyakazi wa Kiiran, seuse ya kuwa wana vikwazo vya Kimataifa.
Mbona hivyo? Tueleze kwanza tatizo walilonalo kiunagaubaga tuweze kujadili vyema.Kwa nini watu kama huyu wanapewa miradi ya Kitaifa? Inayohusu uhai wa Watanzania? wana nini zaidi?
Tueleze kwa uwazi jinsi wasivyo na vigezo. Suala la utanzania wao nalo bado hujatuweka sawa ni vipi hasa sio watanzania kama nilivyokuuliza hapo juu.Hivi, hiyo miradi waliopewa> ni kwa vigezo vipi? kampuni za Kitanzania zilishindwa? (Ingawa na wao wanajifanya ni kampuni ya Kitanzania) Ukweli ni kuwa ni waongo, si Watanzania.
Tuanzie hapa best. Ungetupa jibu la swali hili mjadala ungenoga kwani swali lako hili la pili itabidi tusubiri tuone:
Kama alipewa uraia kwa mujibu wa sheria zetu, huyu ni raia! Tuache huo ubaguzi… labda kama hoja yako ni ile ya Idd Simba ya kipindi kile ya UZAWA, otherwise raia ni raia.
Hapa kama ni kweli ndo penye tatizo….panahitaji kufuatiliwa kwa karibu.
Tueleze kwa uwazi jinsi wasivyo na vigezo. Suala la utanzania wao nalo bado hujatuweka sawa ni vipi hasa sio watanzania kama nilivyokuuliza hapo juu.
Hapa ndipo tulipo!.JF.
Daah. Mada ya muhimu kama hii hamjaipa kipaumbele zaidi ya upuuzi wa wanasiasa?
Mnasikitisha sana.
Hapa ndipo JF ilipofika?
Nawauliza, mnajuwa kuhusu maji na umuhimu wa maji kwa Mtanzania? na au mwingine yeyote duniani?
Leo tunashindwa kujadili utapeli wa wachache unaohusu maji! au ni kwa kuwa wote mnaoingia humu mna uwezo wa kununuwa maji? au kuyapata maji bila "effort"?
Inasikitisha sana.
Hapa ndipo tulipo!.
Ungeuliza jinsi ya kujikomboa kwa jinsi serikali ya CCM ilivyotufanya mandondocha kwa mika hii 50 iliyopita na ndivyo inavyoendelea kutufanza hivi kwa miaka 50 mingine ijayo, them wengi wangechangia!. Gairo ni mfano mmoja tuu na kampuni ya Serengeti ni kampuni moja tuu!, laiti ungefanya utafidi ni madudu mangapi hawa hawa jamaa zako wanaowatendea Watanzania, utakubaliana na mimi, siku ya siku ikifika, tutagezwa kuni!, pamoja na mimi na wewe na wote tunaowasupport!.
Pasco.